Mbunge Assa Makanika katembelea wilaya ya Buhigwe na kuzungumza na wananchi wa hapo ambapo katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram ameandika yafuatayo
 |
Mbunge Assa Makanika akiwa Buhigwe
Always it's so sweet to share good news concerning our Economy issues, Rising our region economic status and revising our status quo.
"We are going to retool the distric's(buhigwe) economy"
That's why It's Good to be back home👇🇹🇿
Nimerejea Mirumbani. Zamani wazee wetu walijivika impuzu, ikiwa ni Aina ya vazi litokanalo na mti wa mrumba. Hivyo kurejea nyumbani kwa watu wenye vinasaba na uasili unaofanana kama wa kuvaa,kusema na mfumo mzima wa maisha ni jambo la kushukuru mola.
Buhigwe ni majirani na ndugu zetu wa karibu na jamaa zetu wa karibu. Leo nimepata fursa kusema nao kwa lugha tunayosikilizana na kuelewana, hivyo hitimisho letu tumeamua ni kukipigia kura ✅ CCM na KAVEJURU✅. |